LGE2024 Mwanza: Nane mbaroni kwa kukimbia na kura za mwenyekiti

LGE2024 Mwanza: Nane mbaroni kwa kukimbia na kura za mwenyekiti

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nimesikia amesema kura zimebebwa na hao vijana saa kumi na mbili asubuhi. Pia nimesikia kura zinaanza kupigwa saa mbili asubuhi. Sijaelewa . Naomba alieelewa anieleweshe tafadhali.
 
KAZI ipo
20241127_144920.jpg
20241127_144855.jpg
 
wachukuliwe hatua kali mno za kisheria ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hiyo :pulpTRAVOLTA:
Aliye fanya hayo ni mjaa Damu mwenzako ,aliyefanya hayo ni mtukufu mwenzako kama ulivyowewe unajiona hakuna wakukufanya chochote .
 
Uchaguzi wa Mtaa tu una heka heka hivii aisee Mwakani wanajeshi wataingia kati nao hali inatishaa.. Mauaji kila konaaa hatari sana
 
Aliye fanya hayo ni mjaa Damu mwenzako ,aliyefanya hayo ni mtukufu mwenzako kama ulivyowewe unajiona hakuna wakukufanya chochote .
sina ujamaa katika uhalifu wa aina yoyote gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom