LGE2024 Mwanza: Nane mbaroni kwa kukimbia na kura za mwenyekiti

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
#HABARI: Msimamizi wa uchaguzi Halmashauri ya Jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba, amesema watu nane wanashikiliwa baada ya kuchukua kura na kukimbia nazo.
 
Wakuu,

Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza ambae pia ni Msimamizi wa uchaguzi katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Kiomoni Kibamba amesema kuwa baadhi ya vijana katika kata ya Lwahnima wamevamia kituo cha kupigia kura za mwenyekiti na kutoweka nazo ambapo jitihada zimefanywa na watu hao wamekamatwa.
 
Mchengerwa .aka mkwe mwenye kifua kipana oyeeeeee
Ccm oyeeee
Unachukua unaweka waaaa
 
wachukuliwe hatua kali mno za kisheria ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hiyo
 
CCM ni Majizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…