LGE2024 Mwanza: Nane mbaroni kwa kukimbia na kura za mwenyekiti

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Naona uchaguzi ni wa moto sana, kama hali ipo hivi tu kwenye viti vya mtaa sijui itakuwaje kwe sofa la ikulu. 😅
 
Nimesikia amesema kura zimebebwa na hao vijana saa kumi na mbili asubuhi. Pia nimesikia kura zinaanza kupigwa saa mbili asubuhi. Sijaelewa . Naomba alieelewa anieleweshe tafadhali.
 
wachukuliwe hatua kali mno za kisheria ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hiyo
Aliye fanya hayo ni mjaa Damu mwenzako ,aliyefanya hayo ni mtukufu mwenzako kama ulivyowewe unajiona hakuna wakukufanya chochote .
 
Uchaguzi wa Mtaa tu una heka heka hivii aisee Mwakani wanajeshi wataingia kati nao hali inatishaa.. Mauaji kila konaaa hatari sana
 
Aliye fanya hayo ni mjaa Damu mwenzako ,aliyefanya hayo ni mtukufu mwenzako kama ulivyowewe unajiona hakuna wakukufanya chochote .
sina ujamaa katika uhalifu wa aina yoyote gentleman 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…