Nipo Mwanza nimejiajiri, natafuta
msichana tupunguziane ukali wa maisha umri miaka 18-24 Dini yeoyote awa anajishughulisha na chochote kitakachotuwezesha tuwe tunasaidiana katika maisha.
Mimi ni Mwanaume, mweupe , mrefu wa wastani na nina mvuto.
Nipo tayari kukupenda,kukuheshimu na kukutunza aslong as you will do the same to me.
Sihitaji Mdangaji,mtu aliyopo serious sana (it's boaring you know).
Awe funny, anaejua kupenda na anaejali.
Nipo serious sana fakers muione PM chungu.
Aliyeserious aje PM tuyajenge usiogope username 😄😄