INAUZWA MWANZA: Nauza Bajaj kwa bei ndogo

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
NUNUA BAJAJ UPEWE NA DEREVA WAKE BURE... Mwanza 0713096076
Nauza bajaj za kila aina!!
Bei nzuri tu

kuanzia mil 3 mpaka milioni 5 mwisho.

zote ziko vijiweni zinafanya kazi

MTEJA SERIOUS PIGA SIMU...



 
Hapo kwenye 'kupewa dereva' bure, fafanua.!

Isijekuwa dereva wa mchongo anairejesha Bajaji inauzwa upya.[emoji1][emoji1][emoji1]
Nimepata wateja ambao wananunua bajaj na wanaomba kutafutiwa madereva wa kufanya nao kazi vijiweni hapo hapo

kwa hio hatuna gharama za kuwatafutia madereva.

tafadhali wasiliana nasi 0713096076 kwa huduma zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…