mm ndo mwenyekit wa mahandsome mwanza,karbuMwanza kuna watu kama malaika sio wakaka tu hata wadadaz kuna pisi za kwenda tako kubwa Afrika mashariki na kati niliona Mwanza, sijasahau bado yule dada hata kuchamba hawezi nina uhakika
Haina shida we utamruhusu aingize kichwa tu.Habari za asubuh wana ukumbi,
Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishi Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).
Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya👌.
Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijali, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua simu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambie, akakata simu.
Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.🤣
Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
😂😂😂 Hana pesa kibaka tu huyo ananichomolea vichenchi vyangu anaenda kubetiaYaani Kwa kauli hii ndio inaonyesha shemeji unazo,maana wenye pesa ndio misemo yenu hii,,,maskini ndio utawasikia walisema sisi matajiri 😁😁
Hivi kaenda na yeye kwenye appointment?
Cazee si una yard wewe 😂😂😂Mimi pia naishi kwa kubeti tu sema Mungu anasaidia 🤣 Sportpesa oyee
Usije na wewe anza tafuta safar ya kuja mwanza[emoji6]nimesismka[emoji38]
🤣Hapana naishi kwa kubeti tu kwa kudra za Mungu napata mia mbili mia mbili naweka bando ndio nakuja kuinjoy humu!Cazee si una yard wewe 😂😂😂
Kwa pesa gani alizonazo? Yeye mwenyewe anaogopa 😂😂So mlimani city hamjaenda.
Maboss mnakataa ili mtunyime kazi 😂😂🤣Hapana naishi kwa kubeti tu kwa kudra za Mungu napata mia mbili mia mbili naweka bando ndio nakuja kuinjoy humu!
Aliyekwambia napapatika na mahandsome ni nani??mm ndo mwenyekit wa mahandsome mwanza,karbu
Weka picha yakeHabari za asubuh wana ukumbi,
Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishi Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).
Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya[emoji108].
Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijali, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua simu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambie, akakata simu.
Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.[emoji1787]
Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
Mwambie kuwa wewe na sura personal dam dam 🤣🤣🤣Aliyekwambia napapatika na mahandsome ni nani??
Uzuri wa mleta uzi hata hajali kelele za chura, na kwa kimya hiki atakuwa anapelekewa moto juu ya moto, alipo huko anatukana kizungu😂Kwani wanaume mbona hii mada imewauma hivyo 🤣🤣🤣🤣
Muacheni mwenzenu akapate raha.
😆😆😆..nimesismka alivyosema ni blak ana mwili fulani✌Usije na wewe anza tafuta safar ya kuja mwanza[emoji6]
Haijalishi pesa zinaingiaje Kikubwa wallet isomokeMimi pia naishi kwa kubeti tu sema Mungu anasaidia 🤣 Sportpesa oyee
Kashaanza kumiminiwa uji wa moto toka saa 8 maana ndio mida ya uasherati wa kijangili hapo hadi saa 11 anatolewa na kurudishwa mitaa ya ukweni 🤣Uzuri wa mleta uzi hata hajali kelele za chura, na kwa kimya hiki atakuwa anapelekewa moto juu ya moto, alipo huko anatukana kizungu😂
Mbona nasikia una kidate Mlimani city?😂😂😂 umeanza sisy, waheshimiwa kutoka wapi?
Tupo hapa tunacheza kidali po
Hahahah alimradi matatizo yatatuliwe tuHaijalishi pesa zinaingiaje Kikubwa wallet isomoke