Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua simu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba


We ni maharage ya Mbeya full stop
 
Miaka 78 uhendisamu ulishaisha binti yangu...ila enzi zangu nilikimbiza balaa. Nilikuwa mtu wa kwanza kuibua pisi kali ya kizungu na kutinga nayo kijijini kwetu Ng'wadobana. Nilikuwa bonge la celebrity yaani!

Ila ndoa zenu hizi za siku hizi na hizi simu zenu hizi kwa kweli hapana. Hapa jana tu nilikuwa na kesi dogo mmoja kampiga mimba mke wa mjeda...Sasa wanapanga eti waitoe 🚮
😂😂Mpwa
 
Back
Top Bottom