Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Hata wewe na ugumu wako kuna mahali nitakupata tu mkuu🤣🤣
 
🤣🤣 wanaume wa jf mnashangaza👌
Kuna watu wananifata hadi pm kunitusi kisa hii thread lol
Mlidhani mie bikira Maria au?
Nishapenda Mimi,hivyo yaani🤣
Hii ni attention seeking scheme na unawachora watu tu hapa 😁😁😁

Ila Mungu akusaidie kama una emptiness au upweke kwenye moyo wako maana kupambana nao si mchezo.
 
Umenifundisha kitu hapa, kumbe akisema hatoi namba kwa stranger natakiwa ninyang'anye simu na kujibeep🤔
 
Usitende dhambi ya kutoka nje ya ndoa. Usisaliti ndoa yako.
 

Bha ngosha[emoji16] hatupendagi mambo marefu sisi[emoji16]
 
Siku hizi Mwanza wanaongea kiTanga?


Uongo mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…