mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
jamaa ana bahati mshangazi huu hapa uko wet🤣We mbona unafanya maajabu na hatukusemi?
Nami ni binadamu Nina moyo wa nyama
aisee,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa ana bahati mshangazi huu hapa uko wet🤣We mbona unafanya maajabu na hatukusemi?
Nami ni binadamu Nina moyo wa nyama
Alikuita kwa kujiamini coz alishakuona kua wewe ni cheap na unakamatika kirahisi tu,ungekua umejiweka kiheshima asingekuita hivyo,unaitwa na mtu yupo bandani anakula ugali na mboga kisha unajipeleka kama Mbwa kaona chatu,Hapana yani kule kujiamini kwake kama mwanaume kumefanya nimpende ghafla
Yani alivyoniita kama demu wake vile,afu alikuwa very calm
Hapana hatukuongea sanaMsukuma wa kuuliza 'waitwa nani'.
Umekutana na mdigo wewe.
Anyways kipochi manyoa ni chako na umepewa bure, hujakilipia. Sambaza upendo mama.
Yap kwa Mara ya kwanza nimelowa kwa strangerjamaa ana bahati mshangazi huu hapa uko wet🤣
aisee,
Heeh acha kunitusiMungu amrehemu mmeo kwa kuoa dustbin.
🤣🤣Sasa si Niko huru.Very cheap indeed.
No doubt, kwa nini baba wa wanao alichagua kukuacha mazima.
Every woman is a whore in her own ways🙏The simple way to sum your character, 'the cheapest whore'.
🤣🤣Karibu🙏Whore advertisement at its best.
Kama umeolewa hapo ulikosea,ungezaa tu halafu uishi singosingo yaani uwe singo madha.Ungeinjoi sana,full kupishanisha madogo,mababa,wazee n.k nyumbani kwako.Wadada au wamama wa hivi,wanafaa sana,ile mtumishi katoka zake kijijini huko,badala akalale loji,anakuja kwako,anakula wewe na msosi,asubuhi anaenda kwenye mishe zilizomleta mjini,akimaliza anasepa.Wanawake wa hivi mnafaa sana,hata watoto wa kiume wanaobalehe inafaa wawe wanawatafuta wanawake kama nyie,wanajifunza kupeleka moto,halafu wanaenda kuoa wanawake wa aina nyingine,yaani wa ndoa.Hahah kwamba tushakufa?
Kila nafsi itaonja mauti
Si ndomu zipo?siendagi peku👌
Mjomba kuwa makini na wanaume wenz .Habari za asubuh Wana ukumbi
Mweh mweh mweh Nimeingia Mwanza juzi kikazi Nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri bwiru hapo kwa matajiri(kwa wakwe zangu)
Nikaishia atm nitoe kasalio afu nipande boda nimfate shule twende home,wakati naifata atm nikapita Sehemu jirani na mama ntilie mmoja,nikapiga jicho,nikamwona kijana shababi anakula ugali mbogamboga,aliponiona,akaniita we sista njoo,nikamwambia eeh akanambia njoo,nikasema haya👌
Nikaenda akanambia waitwa nani? nikamjibu siongeagi na waume za watu,akanambia mi bachelor,nikamjibu ok ila mie siko singo,akasema usijal,waenda wapi?nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani ndo nimedondoka nyegezi hapo.
Akasema ok nipe no yako,nikamwambia sitoi no kwa strangers,akachukua cmu yangu akajibip,akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba,lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.
Nikampokea mwanangu,nikamfikisha home,nafika tu nasalimiana na baba mkwe,jamaa anapiga,nikaomba udhuru nikatoka nje,then nikapokea cmu yake,akanambia ushampokea mtoto,nikamjibu Yap na Niko home,akanambia kamilisha ratiba afu unambia,akakata cmu.
Sikumtafuta manake Niko ukweni kapigaa weeh sijapokea Ila nimemwelewa,kumbe Kuna wasuk.uma mahandsome lol🤣
Sema kutoka kipengele manake Niko ukweni,natamani kukipambazuka nitunge Safari nionane naye,anaonekana mtamu kwa bed
Au nitakuwa nazingua Wana ukumbi?