Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Yule bwege hawezi gundua
Nimemzid akili na maarifa
Hata biashara anayomiliki mie ndo niliibuni na kumpatia sponsor,so hana command kwangu👌
Nilitegemea hii situation kuwepo baina yako na mumeo. Kiufupi hakuna mapenzi bali mnalea watoto tu na kusitiriana 🤣
 
Siyo story ndugu
Jamaa tuliachana,nilimfumania,badae wazazi wake wakalazimisha ndoa ya kimila,kwakua tushazaa watoto wawili,Ila yuko daslam,na huko ana mke mwingine, inshort ana wake wawili,huwa naenda dizim na yeye huja huku niliko kikazi mara moja moja
Sasa kosa langu liko wapi?
Na mkianza kusemwa masingle mother mnaanza kuumia ni kwasababu ya huu ujinga kama huu mnaofanya
 
Kweli shida ni kubwa
Wala ni kweli
Jamaa tulisoma wote chuo kikuu
Mie nikaajiriwa serikalini ye hakubahatika
Nikampa idea ya kufungua kampuni ya aliyosomea,tulisoma course moja,nikawa Nampa michongo ya kazi,hadi kampuni ikasimama,na alivoanza pata visent ndo mizozo na kucheat vikaanza,so hanistui.
 
financial services Tukiwaambia nyie hamna mdhamana muwe mnaelewa. Huyo mwenzio bila aibu kachagua kunyengwa bila uoga. Ana sneak out chap akirudi mkoani kwa mumewe atajikausha kau kau.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unahamasisha kuwa inawezekana tu bila madhara, usiwadumbukize wote bado kuna samaki hazijaoza mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na haya mambo ni kweli kabisa nilisahi kutana na Mdada Mmoja hivi ana umbo zuri na sura nzuri ila alikuwa anaonekana anaongea na simu kwa kufoka sana...

Kila baada ya dka 5 anaongea na simu nikamsubiria nikarusha ndoano..

Mtoto kaidaka ndoano kwenye kuongea naye kwamda mrefu nikagundua kwanza ni mlokole wa Wale mashahidi wa yehova tena Ni mwalimu wa Dini 😅😅..

Wamezinguana na Mumewe na amekubali kabisa kuwa na mimi na ana mume wake Nikawa nazidi kumpeleleza nikagundua Wanaume tuna safari ndefu ya kwenda....

Wanawake nowdeiz ukiwauzi kidgo tu wanatoa siri zote za ndani maana niliambiwa mwanaume wake si lolote wala si chchote kwenye Uwanja unaotumika kwa usingizi akamkandia kweli kweli na ni mtu mwenye heshima hapo mjini..

Ila shida moja alikuwa anamcheat sana huyo mdada na alikuwa kama anamuonea tu...

Sikufanikiwa Kutembea naye Cuz niliona ni upuuzi kumuumiza mwanaume mwenzangu Tena bahati mbaya aliponitajia nilikuwa namjua vizuri sana....
ulitembea na chaki
 
Dada mbona hujanishtua twende wote?
Kabisa kweli epuka visukari mwaya, kwanza bado unalipa [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Na akijirudisha hamna kumkubali ateseke akufwee [emoji23][emoji23][emoji23]
Si umesema unajiandaa kwenda mlimani city?[emoji23]
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unahamasisha kuwa inawezekana tu bila madhara, usiwadumbukize wote bado kuna samaki hazijaoza mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inauma sana yani unawaza je waifu akinipiga mission impossible itakuwaje? 🤣
 
Habari za asubuh wana ukumbi,

Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishi Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).

Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya👌.

Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijali, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.

Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua simu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.

Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambie, akakata simu.

Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.🤣

Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
Kwa hiyo umetoka zako huko uzaramoni kuja kusambaza umeme wa REA mwanza! Wewe ni zaidi ya pepo la ngono aisee.
 
Back
Top Bottom