Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Watu wanatofautiana, kika mtu na level yake, wengine wakina sisi kwenye hicho kibanda cha mlinzi ndio tunalaza mbavu zetu..Unajua maana ya nyumba wewe,sema nauza kiwanja chenye kibanda cha mlinzi
Nashauri definition ya nyumba iwe revisited ππππππHabari zenu?
nauza nyumba yenye kiwanja cha ukubwa 25 kwa 20
Nyumba ni ya Chumba na Sebule
Ipo kishili (mtaa wa chadema) bei ni milioni 4
kwa mawasiliano zaidi nipigie kwa 0767-733-555
View attachment 2330095View attachment 2330096View attachment 2330097View attachment 2330098
mimi sina hata hicho kibanda hila siwezi kusema hiyo ni nyumba,hapa ishu ni tafsiri ta maana ya neno nyumba na kibandaWatu wanatofautiana, kika mtu na level yake, wengine wakina sisi kwenye hicho kibanda cha mlinzi ndio tunalaza mbavu zetu..
Wengine ili mradi asinyeshewe na mvua, wala jua mchana na mlango wa kuzia wadudu uwepo..
Wengine mradi akiwa anayafanya yake ndani haonekani na wa nje.
Nyie Wengine mabangalo, wengine ma mansion kabisa.
Sawa mkuumimi sina hata hicho kibanda hila siwezi kusema hiyo ni nyumba,hapa ishu ni tafsiri ta maana ya neno nyumba na kibanda
Unakosea ndugu, hicho unachosema kibanda kuna mtu anakitafuta na akikipata kwake ni mithili ya hekalu.Unajua maana ya nyumba wewe,sema nauza kiwanja chenye kibanda
Toa na tafsiri ya neno banda,Unakosea ndugu, hicho unachosema kibanda kuna mtu anakitafuta na akikipata kwake ni mithili ya hekalu.
Hali zinatofautiana, kama hakikufai wewe ni busara pia kupuuzia bila kuweka kebehi.
Tafsiri ya Nyumba.
Jengo linalotumika kama makazi/hifadhi ya kiumbe hai. Ikiwa tayari ni jengo linaloishi watu (viumbe hai) basi ni halali kuitwa nyumba.
unajua gharama za kujenga hicho unachokiita kibanda?? Pengine inaweza kugharimu mshahsra wako wote wa miaka miwili.Toa na tafsiri ya neno banda
Banda hatuangalii gharama toa tafsiri ya neno bandaunajua gharama za kujenga hicho unachokiita kibanda?? Pengine inaweza kugharimu mshahsra wako wote wa miaka miwili.
Ningeweza kusema nauza kiwanja kwa milioni 4, lakini bado ukaja ku dis-courage.Nashauri definition ya nyumba iwe revisited ππππππ