Mwanza: OCD Bukoba, Babu Sanare afariki kwenye ajali ya gari

Songwe lini tena mkuu?unanitisha? Shule gan
 
Songwe lini tena mkuu?unanitisha? Shule gan

Iko hapa mkuu, sad:

 
Poleni sana kina poti igaka napafaham vizuri pale kutoka madukan kuelekea bonde la mpunga kinafata kijiji cha Ibanda kisha kasamwa mpaka buhalahala hatimae shilabera Geita town
 
1.Eleza ni nini chanzo au kisababishi cha ajali?

2.Dereva wake kapona?
 
Kwahiyo gar ikikaguliwa haiwez kupata ajali? Au waache kukagua mabus [emoji706]
Shangaa na wewe Mkuu, yani kuna Watanzania wajinga kupindukia.
Yani anaona polisi kukagua magari au kudhibiti mwendo barabarani ni ujinga haina maana
 
Poleni sana familia na jamii nzima ya Police [emoji61].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…