Mwanza: Okoa gharama ya kununua taa mpya za gari yako

wilsonwizzo3

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
625
Reaction score
2,704
Okoa gharama ya kununua taa mpya za gari yako,

Kwa kusafishiwa kupitia njia ya kisasa kabisa ambayo inazifanya taa zako kurudi katika ubora wake

Huduma hii imewavutia watu wengi wa jiji la mwanza maana imewasaidia kuepuka kuingia gharama kubwa za kununua taa mpya.

Badala ya kutoa Tsh 400,000 au zaidi kununua taa mpya sisi tunaisafisha kwa tsh 30,000 tu.

Unaweza kunipata kwa WhatsApp kupitia namba 0745142197 pia unaweza kunipigia kupitia 0617772197
Namimi nitakufanyia delivery ya huduma popote utakapokuwepo iwe ofisini au nyumbani au sehemu yeyote ile ndani ya jiji la mwanza


Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Ofisi zenu ziko wapi?
Sahara?
Nata?
Igogo?
Pamba road?
Mabatini?
 
Watu wa mwanza waambie umetoka dar kuwaletea hii huduma ndiyo utawapata kwa urahisi.

Wenyewe wanaiona dar kama paris vile.
 
Naomba kuuliza,mtu ananunua taa mpya kwa sababu ya kuchafuka ama ikiwa imeharibiwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…