Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
- Thread starter
- #21
Tunza iko wapii dadilooUsiache kwenda Kwa tunza , tupige mbili tatu
View attachment 2463039
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunza iko wapii dadilooUsiache kwenda Kwa tunza , tupige mbili tatu
View attachment 2463039
Tunza pamependeza sana.. Jamaa kajua kuweka hela 🔥🔥Usiache kwenda Kwa tunza , tupige mbili tatu
View attachment 2463039
Ilemela huko babylonTunza iko wapii dadiloo
Hahaha mkuu usijali nitakula kwa ushauri wako kwa bill yangu.....Nakutamania kweliii 😩😩😩😩😩
Mwanza mji flani umetuliaaa, yaani ukitoka dar ukafika hapo kuna uzito flani kabisa unautua "perfect choice"
Kula dagaa wa kukaanga, ugali laini na mbogamboga flani hivi kwa niaba yangu lakini utalipa mwenyewe 😁.. Enjoy ✊
Mi nakuombea ufike salama na wote mliopo kwenye gari, ikawe furaha kwako na amani pia.Wakuu poleni na hongereni kwa heka heka za xmass. Pia heri ya mwaka mpya 2023.
Niko njiani naelekea mwanza kwa mapumziko ya week moja then ntarudi dar es salaam kupambana na maisha.
Kwakweli Mwanza imekuwa nyumba yangu ya pili....mwanza is my bae [emoji813].
This time around nitatamani kuona vivutio vya Kitalii vilivyopo mwanza ikiwemo kuvuka hadi kisiwa cha saa 8.
Maoni ushauri unakaribishwa....View attachment 2463001View attachment 2463002
Ukiona mdada kajikalia tilapia au rayn's bay, peke yake hana time na mtu ujuwe ni mimi hizo ndo sehemu zangu weekend.
Enjoy sato sangala.
Wenyeji tutakirimu.Sijabeba hata...last Time nlibeba nkakuta joto... sjui itakuwajee
Atumie utundu isichakae.Ina mwenyewe wa kuichakazaa 😂