Mwanza one time for new year

Mwanza one time for new year

Tushapita shyinyanga mda kidogo...sema rto wa sasa mwanza anakazaaa hakuna gari kutokea dar linaruhusiwa kuingia mwanza mjini chini ya saa 6. So wakifika shyinyanga inabidi walale kuvuta muda
 
Pole na safari mkuu. Upo kwenye Ally's hiyo nyeupe au ya orange?
 
Back
Top Bottom