kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Ccm wako na Mzee wa kijijini wasira wakati chadema Iko na vijana wasomi na wakimikakati
Tofauti kubwa sana
Tofauti kubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm wako na Mzee wa kijijini wasira wakati chadema Iko na vijana wasomi na wakimikakati
Tofauti kubwa sana
Nikuulize wewe mkuu 'Erythro'; labda unaweza kuwa na jibu la swali hili:Ukerewe asanteni sana
CCM wanaelewa hili na ndio maana wanauza kila kitu ikiwemo BandariNikuulize wewe mkuu 'Erythro'; labda unaweza kuwa na jibu la swali hili:
Hivi Samia na Kinana, na kwa bahati mbaya sana (hata Philipo, Bwana Mipango naye inalazimu aingizwe, kwenye kundi hili) watafanya uchawi gani safari hii ili wabaki salama?
Huo ufundi watakaotumia kuwageuza akili hawa watu nitapenda sana kuujua.
Sioni polisi wala Tume ya Uchaguzi ikiweza kuhimili wimbi hili linalokuja kuwafagia CCM.
Dah!
Imenilazimu nirudi haraka sana kuongeza swali la pili, litakalofaa ulijibu kama itakupendeza.
Nalo linasema ifuatavyo:
Hivi CHADEMA itawalazimu wafanye kitu gani kitakachofanya wananchi wawaone hawafai kabisa na kurudi kumwangukia zimwi CCM?
Hilo litakuwa ni kosa la ajabu sana litakalokuwa halijawahi kufanywa na CHADEMA.