Mwanza: Tuzo za Mwanamke Kinara kanda ya ziwa

Mwanza: Tuzo za Mwanamke Kinara kanda ya ziwa

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Tuzo ya Mwanamke Kinara Kanda ya Ziwa



Kutoka kwa Waandishi wetu Mwanza;
Leo ni siku nyingine tena ambayo ni msimu wa pili wa tuzo hizi kubwa kanda ya ziwa ambapo tutashuhudia Tuzo zikitolewa kutambua michango mbalimbali ya wanawake Vinara Kanda ya Ziwa, waliogusa jamii kwa namna mbalimbali.

Mkurugenzi wa Emedo tanzania alitambuliwa kama mwanamke kinara2021 aliyekuwa na mchango mkubwa kugusa wanawake sekta ya uvuvi.

"Mwaka huu tunaona fahari Kubwa kudhamini Tuzo mojawapo katika kipengele cha Uchumi wa ZiwaVictoria

Nina imani umeshapata Ticket yako, tukutane winterfellcityhall leo kushuhudia tukio hili la kihistoria chini ya waandalizi mahiti wa Tuzo hii ambao ni Women round table Tanzania"

Pia Wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc mara baada ya kunyakua tuzo ya Woman of the future waliyoshinda kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambapo kampuni hiyo ilishinda kwa kuajiri zaidi ya asilimia 40 ya wanawake kwenye menejimenti yake. Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd waliandaa tuzo za Rising Woman zenye lengo la kuwezesha wanawake kuvunja upendeleo kwenye ajira nchini.... Nao watakuwepo pamoja katika tukio hilo
 
Back
Top Bottom