figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.
Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani
Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda kuwaruhusu hadi Wavue nguo Walizovaa zenye viashiria vya Siasa.