figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.
Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani

View attachment 2242126
Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda kuwaruhusu hadi Wavue nguo Walizovaa zenye viashiria vya Siasa.
polisi ni vilaza wanatumika vibaya halafu wanalipwa mshahara kiduchu maisha yao magumu mwangalie huyo afande sura ngumuMungu ibariki Chadema
sasa mshahara wa polisi unahusianaje na bangi za bavicha???mkuu utakung'utwa kwa kujizima data halafu uende uambie demu wako polisi njaa tu ndio maama wamenidunda.po
polisi ni vilaza wanatumika vibaya halafu wanalipwa mshahara kiduchu maisha yao magumu mwangalie huyo afande sura ngumu
hawana nguo[emoji3]
tukisema hawa watu ni vichaa mnasema hatujasoma[emoji16][emoji16][emoji16]
sasa katiba mpya na mpira vina uhusiano gani??
Hawa polidi hawa!!!Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.
Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani
View attachment 2242126
Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda kuwaruhusu hadi Wavue nguo Walizovaa zenye viashiria vya Siasa.
Wakiruhusiwa kuingia na hizo nguo zao za damu, Mayele akifunga tutashangilia' CCM........CCM.......CCM.......CCM' halafu tuwasikie wakilalamikaPolisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.
Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani
View attachment 2242126
Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda kuwaruhusu hadi Wavue nguo Walizovaa zenye viashiria vya Siasa.
Ilishabarikiwa siku nyingi,Mungu ibariki Chadema