Wapendwa wadau habarini,
Mkoa wa Mwanza na viunga vyake (Nyamagana) kumekua na ukosefu mkubwa wa maji unaopelekea watu kuhangaingaika Kila kukicha.
Serekari ilitamka December mradi mkubwa wa maji (Butimba utakua umekamilika) mpaka sasa hakuna kitu.
Umeme: mgao wa maji uliokuepo sasa umetoweka na hii ni kutokana na ukosefu wa umeme.
Huwezi Amini (Nyegezi mitaaa mingi wiki takriba ya pili hakuna maji) ukifuatilia wanadai hakuna maji kwa sababu pampu hazisukumi, hakuna umeme✍️Very simple answer!
Mkoa wa Mwanza mwezi uliopita umekumbwa na kipindipundi ampampo moja ya sababu ya kitaalami ni uchafu. Sasa kwa hali hii ya mgao wa maji magonjwa haya yataisha?
Watendaji wa idara ya maji Mwanza mnapaswa kujitafakari kama mnatosha kwenye wanafasi zenu. Haiwezekani ziwa liwe hapa maji yawe shida na kisingizio ni umeme, hata kabla umeme haujawa shida maji Mwanza hata yalikuwa tabu!
Tambueni mnalipwa kwa Kodi zetu. Vyeo ni dhamana. Hamtoshi kwenye ofisi hizo.
Mwanza maji ni shida tena ni shida iliyo pitiliza mipaka.
Nawasilisha🙏🙏🙏
www.jamiiforums.com

MWAUWASA: Mwanza hakuna changamoto ya uhaba wa huduma ya maji, mteja mwenye changamoto awasiliane nasi
Baada ya hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika kuhusu changamoto ya huduma ya maji Jijini Mwanza, mamlaka inayohusika imetoa ufafanuzi. Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Tatizo sugu la Maji jijini Mwanza Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya...