Mwanza: Uwekezaji wa hoteli Mkubwa, gharama ndogo

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Hiki chumba kinapatikana ukanda wa maziwa makuu nchini Tanzania pembezoni mwa Ziwa Victoria jijini Mwanza na kinagharimu USD 70 takribani shs za kitanzania 150,000 kwa usiku mmoja tu, room hiyo ni kwa wageni wawili as mke na mume au mtu mmoja.

Kulingana na uwekezaji aliofanya huyu mtu nahakisi gharama ni ndogo za kulala hapo kulinganisha na sehemu nyingine ambazo niliwahi kuziona au kufika.

20220220_091237.jpg
20220220_091239.jpg
20220220_091242.jpg
 
Hapo Heli itatua kweli? Labda kuna njia za Mkato; vichochoro Vya kupandisha huko. Wanakubebea tu begi.
Sasa hapo nataka kufanya mazoezi ?

Hio labda waimarket kwa rock climbers au trekkers na hapo wakifika ni sehemu ya kupumzika kabla hawajaendelea..., sio sio mtu ambaye maisha yake ni purukushani na good time means relaxing sio kufanya zoezi...
 
Watu ambao hawaijui mwanza wanafikiri huko milimani hakuna barabara...
Ukiwa caaprpoint mliman unaiona mwanza yote na kwa kupitia gari,
barabara iko juu ya mawe.
Na hiyo nadhani unapelekwa na boat.
 
Aisee ebu jaribu kuzoom hio nyumba imezungukwa na mawe....,

Tofautisha kwamba mwanza yenyewe majority ni milima..., hata Bugando ipo mlimani, Kirumba ni mlimani, isamilo ni mlimani..., Nyegezi ni mlimani..... sea level ni huku mwaloni, makongoro, kamanga mjini kati n.k. ila hiamaanishi vyote hivyo vipo katikatika ya mawe....
 
Hiyo nyumba naona itakuwa kisiwani.
 
Aisee ebu jaribu kuzoom hio nyumba imezungukwa na mawe....,

Tofautisha kwamba mwanza yenyewe majority ni milima..., hata Bugando ipo mlimani, Kirumba ni mlimani, isamilo ni mlimani..., Nyegezi ni mlimani..... sea level ni huku mwaloni, makongoro, kamanga mjini kati n.k. ila hiamaanishi vyote hivyo vipo katikatika ya mawe....
Mwanza sehemu pekee nyenye changamoto kidog ni mabatini nasio kwa sababu ya mawe
bali uswahilini..
Kwingine unaenda na gari ndio maana umeme umefika na huduma zote.
Yale mawe ukiyaangalia unaweza dhani hakuna njia njia zipo katikati ya hayo mawe
labda unitajie sehemu ambayo gari hazipiti.
 
Hata capripoint kuna mawe ya kutosha maghorofa ndio yanayaficha.
 
Mwanza sehemu pekee nyenye changamoto kidog ni mabatini nasio kwa sababu ya mawe
bali uswahilini..
Kwingine unaenda na gari ndio maana umeme umefika na huduma zote.
Yale mawe ukiyaangalia unaweza dhani hakuna njia njia zipo katikati ya hayo mawe
labda unitajie sehemu ambayo gari hazipiti.
Hakuna sehemu ambayo barabara haiwezi ikapita / kuwekwa issue ni squatter, ujengaji wa bila mipango, na kutokuwa na huduma / mahitaji sehemu husika ya kuhitajika uwepo wa Barabara.... (au waliopo huko kushindwa kugharamia barabara)

Sasa niambie ujenge kijumba chako sehemu ambayo haijapimwa wala sio makazi ya watu (ni hifadhi ya malialisi na huko kuna tumbili na Pimbi) hata ukianza kuweka barabara zako lazima mipango miji / maliasili wakupigie hodi...

Vilevile labda kama wewe mgeni Tanzania uniambie kwamba sehemu nyingi hazina changamoto ya kufikika na gari linafika..., Acha Mwanza tu hata huko Dar au sehemu yoyote ya Tanzania kuna sehemu hata Boda, kutembea kwa miguu tu tatizo let alone gari...., yaani hata kufika kwako lazima uruke vyoo vya watu na mabafu na kama ukipita bila kujua unaweza kushikwa kwamba unachungulia watu wanaoga
 
ivi kenge na jamii yake huwa wanakimbizwaje kwenye mandhari ya hoteli kama hiyooo
 
Hapa sababu ilikuwa miamba imekuwaje tena Tanzania nzima?
Hiyo mipango miji nimekutolea mfano wa mabatini hapo juu sio kwa sababu ya miamba.
Nimekuambia mwanza sehemu gani gari haifiki kwa sababu imezungukwa na miamba!?
something is wrong with you.
 
hakuna maajabu hapo labda mtawakamata wasukuma ....msukuma akiishapata hela ya dhahabu na ameihenyekea miaka mitatu..utamsikia anakwambia "maguzu masese"....
 
Dah,

Hayo madhari yamenikumbusha Nyakabungo mwaka 2000 hiyo.

Kila mtu ana vigimbi sababu ya kupandisha mlima daily kuelekea home.

Ukipiga mswaki asubuhi unatemea kwenye paa la jirani wa chini yako.
 
Back
Top Bottom