Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Yaani nimeanza kujibu sijui nianzie wapi na niishie wapi..., naomba urudie mjadala wangu mimi na wewe kama bado utakuja na hii comment taomba uniambie mother tongue yako huenda tukiongea kwa hio lugha ndio tutaelewana au nitafute mkalimali...Hapa sababu ilikuwa miamba imekuwaje tena Tanzania nzima?
Hiyo mipango miji nimekutolea mfano wa mabatini hapo juu sio kwa sababu ya miamba.
Nimekuambia mwanza sehemu gani gari haifiki kwa sababu imezungukwa na miamba!?
something is wrong with you.
Logically tu na sio Mwanza pekee hata dunia nzima hakuna sehemu kila sehemu inafikika kwa gari sio kwamba ni impossible