Mkuu Makazi yapo tayari...Kunamakaazi ya kifari Nakuru yaitwa milimani pia na ishapostiwa...Hivi mkuu hakuna picha zingine zaidi ya Malls tu?? Wekeni picha za mji, wekeni picha za angalau makazi ya watu.. Si umeona Mwanza umewekewa mpaka makazi ya watu huko milimani??
Hahaha kwa msuka kilimahewa hiyo etbig bite kwa msuka
Unajidanganya weweUsiweke moja moja,weka top 10 ya hotel za Mwanza alafu linganisha na Nakuru,ukienda top 30 ndio aibu zaidi.
Katika miji mitano mikubwa Afrika Mashariki, Tanzania itaingia Dar es Salaam peke yake, wakati Kenya itaingia miji si chini ya mitatu.
Umeona dharau zao hawa jamaa!!Itoe kwanza Zanzibar halafu tutaangalia kama yaweza pambanishwa na Dar!
Afadhali kuzaliwa ngombe watu watakunywa maziwa na wale nyama kushinda kuza zuzu akili pungwani kama huyu...Kibera imetoka wapi Nakuru.
Kibera imetoka kenyaAfadhali kuzaliwa ngombe watu watakunywa maziwa na wale nyama kushinda kuza zuzu akili pungwani kama huyu...Kibera imetoka wapi Nakuru.