Mwanza vs Nakuru

Mwanza vs Nakuru

Ryansbay hotel mwanza

1017110_572083782834801_1282060477_n.jpg


39025_130677633642087_4903890_n.jpg


39025_130677633642087_4903890_n.jpg
 
Hivi mkuu hakuna picha zingine zaidi ya Malls tu?? Wekeni picha za mji, wekeni picha za angalau makazi ya watu.. Si umeona Mwanza umewekewa mpaka makazi ya watu huko milimani??
Mkuu Makazi yapo tayari...Kunamakaazi ya kifari Nakuru yaitwa milimani pia na ishapostiwa...
1460556756407.jpg
1460556760519.jpg
1460556763575.jpg
1460556766985.jpg



Also section 58 Nakuru
1460556789865.jpg
 
Usiweke moja moja,weka top 10 ya hotel za Mwanza alafu linganisha na Nakuru,ukienda top 30 ndio aibu zaidi.

Katika miji mitano mikubwa Afrika Mashariki, Tanzania itaingia Dar es Salaam peke yake, wakati Kenya itaingia miji si chini ya mitatu.
Unajidanganya wewe
Mijigani hiyo!?
 
Itoe kwanza Zanzibar halafu tutaangalia kama yaweza pambanishwa na Dar!
Umeona dharau zao hawa jamaa!!

Yaani Mombasa wailinganishe na Dar!!

Kweli vituko
Minaona kufunga midomo yao
Tufanye watakavyo
Tulete Mombasa vs Dar
 
Back
Top Bottom