Mwanza vs Nakuru

Mwanza vs Nakuru

Mtuulize sisi wafanyabiashara ndo tunaijua hii miji... Mie nilishaendaga kule mwanza kuchukua dagaa na mara nyingi mie ni mkazi wa kericho Ila Nakuru nimeishi pia,,, Nakuru iko nyuma bado sana kuilinganisha na Mwanza,,, Ila wakenya tupunguze kudanganya ndo tutafika but Let US work hard na one day tutawafikia watz
HAHAHAHA wachekesha kweli...Mwanza imechapwa 10nil nabado waongea upuzi...mwanabiashara indeed... endelea na kiosk yako
 
Mwanza is Tz second biggest City and can't compete with Nakuru Kenya's 4th biggest City.... Very shameful
 
Hey 254, you good at this Man am still learning to post, if you can also post the good resorts in nakuru county around Lake Elementaita, Naivasha and lake Nakuru.....
 
MBWEHA CAMP LAKE NAKURU
mbweha-0.jpg

13001135_971915612892786_856229438164462324_n.jpg
mbweha-camp-lake-nakuru-2072-051729b10190797bdbcaca93b4ed99a5229311b6.jpg
mbweha_camp_-_lake_nakuru_3.jpg
 
Mbona mnatuchafuli tena? Tunahitaji picha za mwanza city, jiji lenye vivutio vingi ndani ya e.africa, na si nairobi...manyang'au mna-matatizo sana
 
Back
Top Bottom