Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Nakuru ni mororo sana semeni ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuru ni mororo sana semeni ukweli.
Muzuri sanaMororo ndio kusema nini?
Mbona kama Mwanza wana 51 nakuru 49....yaani ushindi mwembamba
Sababu Ni kama ifuatavyo...
1. MwanZa pamepanuka sana so it's obvious kuna mengi kama hotels,school's, health facilities,alafu ikumbukwe MwanZa there are few apartment since because in Tanzania we don't believe on renting a house/apartment
2.MwanZa mandhari u ziwa na hayo mawe it's very splendid
3.infrustructure are not good as nakuru ....nakuru killed it in terms of miundombinu...
4.upande wa vyuo iyo egerton varsity it's way better than SAUT of MwanZa tena very far u can't compare btn the two!!
Conclusion MwanZa imeshinda kwa ushindi mdogo wa point moja!!
Mshindi by mshindi Ila kashinda kwa mbinde sana....
Hahaha thanks ,ushindi wa mbinde sana!! Arusha mnapambanisha na nani sasa....Au tayari ina uziTihihi.....Congratulations.2nd largest town vs 4th largest.....
Hahaha thanks ,ushindi wa mbinde sana!! Arusha mnapambanisha na nani sasa....Au tayari ina uzi
Yaah arusha ndio iko nyuma ya mwanza. ....tengeneza uzi tuone arusha atachuana na nan. ...Well,Arusha ni ndogo wa Mwanza sio??
Yaah arusha ndio iko nyuma ya mwanza. ....tengeneza uzi tuone arusha atachuana na nan. ...
Mbona kama Mwanza wana 51 nakuru 49....yaani ushindi mwembamba
Sababu Ni kama ifuatavyo...
1. MwanZa pamepanuka sana so it's obvious kuna mengi kama hotels,school's, health facilities,alafu ikumbukwe MwanZa there are few apartment since because in Tanzania we don't believe on renting a house/apartment
2.MwanZa mandhari u ziwa na hayo mawe it's very splendid
3.infrustructure are not good as nakuru ....nakuru killed it in terms of miundombinu...
4.upande wa vyuo iyo egerton varsity it's way better than SAUT of MwanZa tena very far u can't compare btn the two!!
Conclusion MwanZa imeshinda kwa ushindi mdogo wa point moja!!
Mshindi by mshindi Ila kashinda kwa mbinde sana....
Kweli mkuu.Tatizo ujeuri wenu wa kujifungia ndani, yaani introvert hamtaki kudiriki kwa kuchangamkia fursa la soko la EAC ipasavyo, kila siku mnaona kwamba mtaliwa.
Mwanza ina uwezo wa kuongoza miji yote ukanda huu, maana ni kitovu cha nchi kadhaa, yaani Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya na Tanzania zote zinaweza kutanika hapo kama mkitia akili na kuona hiyo fursa.
Hata wakitengeneza uzi hamna maana sababu kila mtu atavutia kwake....!ila kiuhalisia arusha ipo juu....!Yaah arusha ndio iko nyuma ya mwanza. ....tengeneza uzi tuone arusha atachuana na nan. ...
Picha zinasema mkuu....Au we huoni penye ukweli mtu unakubali..mf kwa thread hii MwanZa imeshinda lakini kwa mbinde sana!!Hata wakitengeneza uzi hamna maana sababu kila mtu atavutia kwake....!ila kiuhalisia arusha ipo juu....!
Hata wakitengeneza uzi hamna maana sababu kila mtu atavutia kwake....!ila kiuhalisia arusha ipo juu....!
No.....ila mwanza imeizid arusha kidogo sana...especially kwenye suala la population na baadhi ya miundo mbinu muhimu km barabara...ambazo kwa sasa arusha wanajitahdi kujenga...!So Arusha ni kubwa kuliko Mwanza.....
Sure....sasa watafute mji wa kupambanisha na arusha alaf mm nitapambana nao...!Battle btn Kenyan and tz towns ndio yanoga
Ahahaha wako vizuri Hawa wajingaSure....sasa watafute mji wa kupambanisha na arusha alaf mm nitapambana nao...!