Mwanza vs Nakuru

Mwanza vs Nakuru

Hakuna haja ya kuanzisha, nakuru imeshashinda. Tukianza na Dar vs Nairobi mshindi Nairobi
Mwanza vs Mombasa mshindi Mombasa
Arusha Vs Kisumu mshindi Kisumu
Miji ya Tanzania bado sana huo ndio ukweli, tembea tembea uone
Hahaha kweli wewe unafurahisha !!
Maneno yanini
Kaanzishe Dodoma vs Nakuru
Ili tuone
 
Hahaha kweli wewe unafurahisha !!
Maneno yanini
Kaanzishe Dodoma vs Nakuru
Ili tuone

Leta Dodoma vs Thika....... kwanza niliwauliza mje na estates za Mwanza vs estates za Nakuru.... si mlijificha nyie
 
images

images


images
 
Hivi wewe jamaa ushawahi sifia vitu za Bongo? Au wewe ni snitch.
Wallahi mi husifia lakini si kuhusu huu mji! Kama vile watu wapole, warembo wasupa, watu wazuri kweli, ila ni moja tu! Unafik! Lau haingekuwa basi mngekuwa watu wema sana Africa nzima! Tena niligundua kitu kimoja, kwamba Mbongo akija Kenya ajue ujaja anakuwa mbaya zaidi! Anakuwa mwizi hasa!! Duuh
 
Back
Top Bottom