Hahaha kweli wewe unafurahisha !!Hakuna haja ya kuanzisha, nakuru imeshashinda. Tukianza na Dar vs Nairobi mshindi Nairobi
Mwanza vs Mombasa mshindi Mombasa
Arusha Vs Kisumu mshindi Kisumu
Miji ya Tanzania bado sana huo ndio ukweli, tembea tembea uone
Hahaha kweli wewe unafurahisha !!
Maneno yanini
Kaanzishe Dodoma vs Nakuru
Ili tuone
Nenda kaanzishe nitakujaLeta Dodoma vs Thika....... kwanza niliwauliza mje na estates za Mwanza vs estates za Nakuru.... si mlijificha nyie
Dodoma hii!!!!Leta Dodoma vs Thika....... kwanza niliwauliza mje na estates za Mwanza vs estates za Nakuru.... si mlijificha nyie
Umeamua kabisa tuvuruge hii mada
Umeamua kabisa tuvuruge hii mada
Ili tuanze na Dodoma vs Thika!?
Hahaha
Basi Leo patamu
Niishiwe nini!!Wewe umeishiwa.
Hahahah! Wallahi! wewe!Umeamua kabisa tuvuruge hii mada
Ili tuanze na Dodoma vs Thika!?
Hahaha
Basi Leo patamu
Duuh! Huu mji mbona nyumba ndogo ndogo hivi? Na vumbi tele kweli! Hapa kheri tulinganishe na Machakos sababu Kericho imeizid!
mwanza
Hivi wewe jamaa ushawahi sifia vitu za Bongo? Au wewe ni snitch.Duuh! Huu mji mbona nyumba ndogo ndogo hivi? Na vumbi tele kweli! Hapa kheri tulinganishe na Machakos sababu Kericho imeizid!
Wallahi mi husifia lakini si kuhusu huu mji! Kama vile watu wapole, warembo wasupa, watu wazuri kweli, ila ni moja tu! Unafik! Lau haingekuwa basi mngekuwa watu wema sana Africa nzima! Tena niligundua kitu kimoja, kwamba Mbongo akija Kenya ajue ujaja anakuwa mbaya zaidi! Anakuwa mwizi hasa!! DuuhHivi wewe jamaa ushawahi sifia vitu za Bongo? Au wewe ni snitch.