LGE2024 Mwanza: Wakala na wagombea wa CHADEMA wakamatwa na Jeshi La Polisi kwa kuchukua boksi la kura kituoni

LGE2024 Mwanza: Wakala na wagombea wa CHADEMA wakamatwa na Jeshi La Polisi kwa kuchukua boksi la kura kituoni

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Wakala wa Chadema Edward Odingi ameshikiliwa na jeshi la polisi mara baada ya kuchukua boksi la Karatasi za kupigia kura na kuondoka nazo akiwa na mgombea wake

Kwa mujibu wa Kamanda wa jeshi la polisi Mkoani mwanza Wilbrod Mutafungwa askari aliyekuwa akilinda katika kituo hicho walichukua hatua ya kumkamata wakala na mgombea wake na kuwafikisha kituoni.





PIA SOMA
- LGE2024 - Mwanza: Makada wa CHADEMA wadaiwa kuimbia na boksi la kura
 
Back
Top Bottom