Mwanza wamebaki na milima yenye mawe, Dhahabu, Geita, Kwa jicho la ndani, Kufurahia kuzaliwa mkoa mpya Geita,ni maumivu kwa jiji la Mwanza!

Kwani hiyo njombe ina kitu gani ambacho hakipo Mwanza, labda baridi? Mwanza ni jiji kubwa na litaendelea kuwa jiji maarufu.
 
Watu wengine bhana yaani hizo Halmashauri zao wakiwawekea tu taa za barabarani na trafical right tayari wanaanzisha nyuzi za kujipima ubavu na jiji la pili Tanzania🤣🤣🤣
Kila kitu kikubwa kinachoanzia Dar es salaam basi hicho kitu kinachofuatia kipo mwanza
Ispokuwa Ikulu(Dodoma) na Airport tu(KIA)
REF.
1)stand
2)soko
3)Mall
4)idadi ya watu
N.k
Huku ambacho hatuna ni Baikoko,mashoga,na wabakaji hivi tunaomba muendelee kutuzidi
 
Mkuu, kwenye haya hatupingi, ila, Mwanza unaiona miaka 10 mbele ikiwa kinara wa kuchangia pato la Taifa katika nafasi yake iliyodumu nayo miongo kadhaa sasa ukiitoa Dar?
 
Mkuu, kwenye haya hatupingi, ila, Mwanza unaiona miaka 10 mbele ikiwa kinara wa kuchangia pato la Taifa katika nafasi yake iliyodumu nayo miongo kadhaa sasa ukiitoa Dar?
Ndio ipo pale pale kwasabab kwani kuikata geita haswa kipi kilichopungua zaid ya mgodi na kama utanijibu ni mgodi basi naomba nikujuze kuwa kwa kipindi cha muongo mmoja na nusu kuna tafiti nyingi zimefanyia huko sengerema upo mgodi ambao mwekezaji yupo katika hatua za mwisho za kuwalipa fidia wakazi hadi kufika mwaka kesho mgodi utaanza uzalishaji huu,

unaitwa SOTTA MINE (nyanzaga project) second largest gold core after GGM.

kwahiyo kwahiyo miaka 10 unayosema Mwanza nadhani inaweza kuwa ni zaidi ya ilivyo leo.
 
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale ipo mkoa wa Geita ina migodi ya dhahabu balaa lakini hata kilomita moja ya lami hakuna narudia tena hata kilomita 1 hakuna.
Halafu ndio geita ifanananishwe na Mwanza, kweli?
 
Nyanzaga in terms of gold production ndio itakuwa ya kwanza EA lakini in terms of ukubwa(km za mraba ya pili baada ya GGM).
Rasmi uzalishaji utaanza 2027 baada ya kampuni ya Perseus Mining ya Australia kuchukua hiyo project kutoka kwa Sotta Mining Company.
 
Pole Yao 😆😆👇👇
 
Kufurahia kuzaliwa mkoa mpya Geita, Ni mwanza kuondoka kwenye ufalume wake,

Naomba kichwa cha habari kisomeke hivyo,
Huo Mji Kwa Sasa una hali mbaya sana kiuchumi.

Sio tuu Geita hata Kahama na Sasa Dodoma
 
Uko sahihi kiasi kwamba kijiografia Mwanza imekuwa ndogo sana,ila geita kuja kuifikia mwanza itachukua miaka mingi sana,si chini ya 50,Geita haikui ,pale mjini pako ovyo sana
Sio swala la kuifikia Bali kupunguza Ushawishi wa Mwanza,Mji kama Katoro Kwa Sasa umegeuka ndio shopping Malls ya Kanda ya Ziwa badala ya Mwanza.
 
Una uhakika Serikali imeisahau Mwanza?

Serikali iliyopita ilifanya kipi hapo Mwanza tulinganishe na hii ya Sasa?
 
Mpaka hapo hakuna mgodi maana kila siku tunasikia danadana
 
Kwa maghorofa haya yanayoibuka kama uyoga hapa Rock City, Geita tuipe miaka 700 kuifikia Mwanza.
 
Mwanza Haina umuhimu wowote labda Kwa Kanda ya Ziwa.

Mkoa unaopitwa Mapato na Dodoma nao unaweza kuwa ndogo ya nani? Hakuna hata maeneo ya kujenga viwanda vyote vinaenda Geita,Shy na Kahama.

Mwisho hiyo Nyanzaga ni stori za Toka 2021 hakuna kampuni Iko serious inaweka hela hapo.
 
Kufurahia kuzaliwa mkoa mpya Geita, Ni mwanza kuondoka kwenye ufalume wake,

Naomba kichwa cha habari kisomeke hivyo,
Kumbuka Sengerema kuna dhahabu nyingi sana kuliko hataGeita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…