Mwanza: Wanafunzi Mapacha wa Chuo cha Mipango wafariki Dunia kwa kuzama Ziwa Victoria

Uwezo wetu wabuokoaji majini ni dhaifu unajulikana,unakumbuka mv spice tulisubir usaidizi toka Africa kusini,hadi kupoteza watu wengi😢sad truth.
 
Yaani msomi wa Chuo tena wa mwaka wa 3 anaenda kuogelea ziwani?????


Hizi Elimu za kukariri sijui zinatusaidia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…