Mwanza: Wananchi Wakesha kwenye ofisi za CHADEMA ili kuwahi Maandamano

Msisumbuke na wanasiasa. Tanzania itajengwa na watanzania wote wenye hisia na uzalendo na sio CCM au Chadema au wengine.
 
Ndo maana nimeona hekaheka za malori ya Alliance yakibeba watu badala ya pamba
 
Ukweli ni kwamba Maandamano ya Chadema hayana usajili , kila mtu aliyeguswa na ugumu wa maisha anashiriki tu.[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo mnapokosa hekima....mkiambiwa mnabaki kulialia....surely kama taifa tuko Kwenye maombolezo tena ya mgombea urais kupitia Chadema 2015....Kwamba nyie hamkuona busara kusogeza mbele maandamano yenu hayo?

Chama kinapoteza mvuto Kwa sababu ya kuongozwa na kakikundi Ka watu wajinga....wasio na impact katika jamii,chama cha matukio.
Msidhani upinzani ni show off ya vipeperushi na ma'tshirts,upinzani ni roho....mbona mpina anakiwasha bungeni na ni CCM vipi kuhusu wabunge wenu waptao 20?
 
Usilie
 
Huu uongo unakusaidia nini? Tangu saa 05:00hrs mvua inapiga. Route zote mahudhurio ni hafifu, na bado kuna dalili za mvua kunyesha muda wowote. Hivi ujaze watu usiweke picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…