incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Hii nayo IMEKWENDA😄😄PUNANINANI AAAH PUNANINANI
Hivi KidBway yupo wapi sikuhz ....mara ya mwisho nilisikia Clouds wanamtaja taja kuwa ni mwajiriwa waoHabari wakuu, Nilikuwa najaribu kufikiria hapa vijana waliowahi kutamba kutoka mwanza wengi wakiwa signed na record label ya TETEMESHA PRODUCTION. ambayo inamilikiwa na Mtangazaji wa RFA, Kidbway, wanaishia pabaya sana wengi wao huishia maisha ya puto, yaani kuvuma mda mchache na kujulikana kwa kasi kisha kupotea gafla na kuishia mitaani katika hali mbaya kuliko mwanzo,
Hapa sijajua tatzo linatokana na nini,
Mafano wa wawasanii ambao walipitia mkononi mwa KIDBWAY
SAJNA,
C SIR MADINI
BARAKA DA PRICE
MO MUSIC
MC KOYO
HUSEIN MACHOZI
Na wengineo hawa wote kwa namna moja waliwahi kupita mikononi kwa TETEMESHA PRODUCTION. ila wote walivuma sana lakin hadi sasa hakuna ambae yupo mainstream tena.
Niliona interview ya hussein machozi anasema kipindi anasimamiwa na kidbway alikuwa anaishi chumba kimoja kwa mwanamboka na chumba kilikuwa kinaingiliwa maji mvua ikinyesha.Habari wakuu, Nilikuwa najaribu kufikiria hapa vijana waliowahi kutamba kutoka mwanza wengi wakiwa signed na record label ya TETEMESHA PRODUCTION. ambayo inamilikiwa na Mtangazaji wa RFA, Kidbway, wanaishia pabaya sana wengi wao huishia maisha ya puto, yaani kuvuma mda mchache na kujulikana kwa kasi kisha kupotea gafla na kuishia mitaani katika hali mbaya kuliko mwanzo,
Hapa sijajua tatzo linatokana na nini,
Mafano wa wawasanii ambao walipitia mkononi mwa KIDBWAY
SAJNA,
C SIR MADINI
BARAKA DA PRICE
MO MUSIC
MC KOYO
HUSEIN MACHOZI
Na wengineo hawa wote kwa namna moja waliwahi kupita mikononi kwa TETEMESHA PRODUCTION. ila wote walivuma sana lakin hadi sasa hakuna ambae yupo mainstream tena.
Kidbwoy yupo clouds sio RFA. Yote kwa yote ulichosema ni kweli kabisa.Habari wakuu, Nilikuwa najaribu kufikiria hapa vijana waliowahi kutamba kutoka mwanza wengi wakiwa signed na record label ya TETEMESHA PRODUCTION. ambayo inamilikiwa na Mtangazaji wa RFA, Kidbway, wanaishia pabaya sana wengi wao huishia maisha ya puto, yaani kuvuma mda mchache na kujulikana kwa kasi kisha kupotea gafla na kuishia mitaani katika hali mbaya kuliko mwanzo,
Hapa sijajua tatzo linatokana na nini,
Mafano wa wawasanii ambao walipitia mkononi mwa KIDBWAY
SAJNA,
C SIR MADINI
BARAKA DA PRICE
MO MUSIC
MC KOYO
HUSEIN MACHOZI
Na wengineo hawa wote kwa namna moja waliwahi kupita mikononi kwa TETEMESHA PRODUCTION. ila wote walivuma sana lakin hadi sasa hakuna ambae yupo mainstream tena.
Mapromota na roho zao, mtu anakusaidia kutoka, namkataba wa kimangungo ndo hayo, pesa anachukua yeye we unabaki na jina tu.Niliona interview ya hussein machozi anasema kipindi anasimamiwa na kidbway alikuwa anaishi chumba kimoja kwa mwanamboka na chumba kilikuwa kinaingiliwa maji mvua ikinyesha.
Tena kipindi hicho alikuwa anahit vibaya sana. Akifanya show kidbway anachukua hela karibu zote anamwachia hela ya kula tu!
Kipindi icho icho bibi yake singida alikuwa anaumwa sana ikawa inahitajika hela afanyiwe operation yeye hana hela mpaka ndugu wakawa wanamshangaa yaan hyu jamaa kuhit kote kule hela hana!
Wengi wakawa wanamhukumu kuwa ana hela ila anazibania tu! Ilifikia kipindi uwezo wa kununua pamba kali alikuwa hana mpaka kidbway akawa anamsusia baadhi ya nguo zake
Sasa kila akiuliza hela zinaenda wapi kidbway alikuwa anamjibu zinatumika kwenye promotion
Alimalizia kwa kusema alianza kuiona hela yake ya muziki alivyoachana na kidbway ingawa mwishoni alisema hana tatizo lolote na kidbway
HITIMISHO; Jamani hawa wasanii wetu waoneni tu kwenye tv wakishine ila wanapitia magumu mno
vp anafanya utangazaji au yupo nyuma ya mic kwenye production za vipindi..Kidbwoy yupo clouds sio RFA. Yote kwa yote ulichosema ni kweli kabisa.
Jamaa huwa anahamisha studio yake kutegemeana na anafanya kazi/ameajiriwa sehemu gani .Hivi kumbe TETEMESHA STUDIO ipo dsm minilijua ipo mwanza mabatin
Mara ya mwisho naenda huko ilikuwa maeneo ya gana mwanza na producer alikuwa Gosbert gudluck miaka hiyo akijiita lollymwaahHivi kumbe TETEMESHA STUDIO ipo dsm minilijua ipo mwanza mabatin
Jamaa alikuwa tapeli maana hao wasanii aliowasaidia hawana kituMimi naamini wasanii wengi waliojiona wamekua na kutemana na KidBway wengi wamefeli....
Hii ni kutokana na regime ya Ruge katika music industryHabari wakuu, Nilikuwa najaribu kufikiria hapa vijana waliowahi kutamba kutoka mwanza wengi wakiwa signed na record label ya TETEMESHA PRODUCTION. ambayo inamilikiwa na Mtangazaji wa RFA, Kidbway, wanaishia pabaya sana wengi wao huishia maisha ya puto, yaani kuvuma mda mchache na kujulikana kwa kasi kisha kupotea gafla na kuishia mitaani katika hali mbaya kuliko mwanzo,
Hapa sijajua tatzo linatokana na nini,
Mafano wa wawasanii ambao walipitia mkononi mwa KIDBWAY
SAJNA,
C SIR MADINI
BARAKA DA PRICE
MO MUSIC
MC KOYO
HUSEIN MACHOZI
Na wengineo hawa wote kwa namna moja waliwahi kupita mikononi kwa TETEMESHA PRODUCTION. ila wote walivuma sana lakin hadi sasa hakuna ambae yupo mainstream tena.