Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Kama unafikiri dunia hii yupo kwa ajilinya kukutengenezea mafanikio basi utasubiri sana.No one is comming to save you except you learn to stand on your own
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marco Chali katika kipindi cha Salama na.. aliongelea kuhusu kushuka kimziki kwa 50 cent wa bongo king wa salasala Godzilla mpaka kifo chake kimsingi ni kitu cha kusikitisha sana.Niliona interview ya hussein machozi anasema kipindi anasimamiwa na kidbway alikuwa anaishi chumba kimoja kwa mwanamboka na chumba kilikuwa kinaingiliwa maji mvua ikinyesha.
Tena kipindi hicho alikuwa anahit vibaya sana. Akifanya show kidbway anachukua hela karibu zote anamwachia hela ya kula tu!
Kipindi icho icho bibi yake singida alikuwa anaumwa sana ikawa inahitajika hela afanyiwe operation yeye hana hela mpaka ndugu wakawa wanamshangaa yaan hyu jamaa kuhit kote kule hela hana!
Wengi wakawa wanamhukumu kuwa ana hela ila anazibania tu! Ilifikia kipindi uwezo wa kununua pamba kali alikuwa hana mpaka kidbway akawa anamsusia baadhi ya nguo zake
Sasa kila akiuliza hela zinaenda wapi kidbway alikuwa anamjibu zinatumika kwenye promotion
Alimalizia kwa kusema alianza kuiona hela yake ya muziki alivyoachana na kidbway ingawa mwishoni alisema hana tatizo lolote na kidbway
HITIMISHO; Jamani hawa wasanii wetu waoneni tu kwenye tv wakishine ila wanapitia magumu mno
Marekebisho, kayombo hakuwa producer ila nadhan alikuwa mdau tu, producer alikiwa aliemtoa bestnasso alikuwa anaitwa chiefmeker kama sikksei-Mbona huwasemi producer kayombo the doctor aliwatoa akina man b, best naso, chelea man, n.k
-Mbona huwasem akina akina 20%, chini ya man water
-Mbona hiwasemmi akina trizzy wa masogange,watupori n.k
Hussein Machozi!! Really!!?Habari wakuu, Nilikuwa najaribu kufikiria hapa vijana waliowahi kutamba kutoka mwanza wengi wakiwa signed na record label ya TETEMESHA PRODUCTION. ambayo inamilikiwa na Mtangazaji wa RFA, Kidbway, wanaishia pabaya sana wengi wao huishia maisha ya puto, yaani kuvuma mda mchache na kujulikana kwa kasi kisha kupotea gafla na kuishia mitaani katika hali mbaya kuliko mwanzo,
Hapa sijajua tatzo linatokana na nini,
Mafano wa wawasanii ambao walipitia mkononi mwa KIDBWAY
SAJNA,
C SIR MADINI
BARAKA DA PRICE
MO MUSIC
MC KOYO
HUSEIN MACHOZI
Na wengineo hawa wote kwa namna moja waliwahi kupita mikononi kwa TETEMESHA PRODUCTION. ila wote walivuma sana lakin hadi sasa hakuna ambae yupo mainstream tena.
Machozi ngoma zake za mwanzo hadi ssa nzipenda.Niliona interview ya hussein machozi anasema kipindi anasimamiwa na kidbway alikuwa anaishi chumba kimoja kwa mwanamboka na chumba kilikuwa kinaingiliwa maji mvua ikinyesha.