Mwanza: Watoto wawili wa Shule ya Blessing Model watekwa, wengine Wanne wanusurika

RANSOM... hao watekaji ni wapumbavu, wanakamatwa muda si mrefu, sidhan kama wana means za kujificha ne technology haswa kama wanatumia simu.
Na wao sio wajinga kiasi icho. Anayetuma sms yupo dar let say , walioteka watt wapo mkoa mwingine, wakituma na wezi ni wasomi pia nowdays,
 
Naamini jeshi letu la police, litawanasa si muda mrefu, na watoto watapatikana! sema huwa linaujinga fulani upande mwingine jeshi letu, wagekua makanda au wafuasi wa chadema ningesema hao ndiyo basi tena.
 
Huyo owner wa hyo shule ni CHAWA Kindakindaki wa mama. Yaan hata hawa wakina likasi mashamba hawamfikii.
Isijekua ni political stunt ili awe famous kwa ajili ya uchaguzi ujao.
Kama sio "kiki", bas nawaombea nguvu hawa watoto.
Lakini.........
Anyway tusiseme sana tungoje polisi.
 
akishikwa anayetuma meseji hao wengine watapona? umeshajiuliza hela watapewa kwa njia gani? watazitoaje? ngoja tuone, ila hao wanashikwa mapema tu, hatuna mhalifu bongo wa kutumia akili nyingi
 
Sms inatumwa mtu anazima simu anapotea hayo maeneo ,hela inatumwa inatumwa Kama laini tatu hivi zinatolewa watt wanashushwa njia watu wanasepa. Ila ni movie zimewadanganya naona Hawa watekaji wanafanya mazoezi ya uhalisia wa movie
 
Gari ya shule umebeba watoto wadogo then unatoa lift kwa mtu usiyemjua?? Mwenye shida kwanza ni dereva
 
Huyo dereva ahojiwe kwa kipigo kizuri, ata sema wako wapi.

kwa maana ana jua maisha ya watoto hao kwa kuwa yeye ni sehemu fulani ya routine Yao.
hivyo huo mchongo huenda yeye kauchora, ila ni mshamba Sana.
Mkuu Yawezekana kachora yeye au hajui chochote, lakini hata mimi nashauri ahojiwe maana kumpa mtu usiyemfaamu lifti wakati mwingine unarisk maisha yako na abiria wako pia 🤔
 
Sms inatumwa mtu anazima simu anapotea hayo maeneo ,hela inatumwa inatumwa Kama laini tatu hivi zinatolewa watt wanashushwa njia watu wanasepa. Ila ni movie zimewadanganya naona Hawa watekaji wanafanya mazoezi ya uhalisia wa movie
mzee umesikia jamaa zako wameshakula chuma wamekata moto? Nilikwambia ulikuwa mpango wa kipumbavu sana. Watoto wako salama, jamaa wamelala usingizi wa milele.
 
Kama dola inateka na kutesa hadi kuua watu kwa nini majambazi wasifuate nyayo? Ila ingependeza kama wangekuwa watoto wa viongozi wa CCM ili waonje uchungu kama uchungu waliopata wazazi wa Soka na wenzake.
Naamini matukio mengine yanatengenezwa kurudisha imani kwa vyombo vya usalama. Wasiojulikana wenyewe wakikudaka huwezi rudi salama
 
Back
Top Bottom