Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 6,404 Reaction score 6,969 Nov 8, 2021 #1 Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amethibitisha vifo vya watu watano wa familia moja walioungua moto ndani ya nyumba yao katika eneo la Mandela jijini Mwanza. Chanzo: Nipashe
Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amethibitisha vifo vya watu watano wa familia moja walioungua moto ndani ya nyumba yao katika eneo la Mandela jijini Mwanza. Chanzo: Nipashe
STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,586 Nov 8, 2021 #2 Innalillahwainnailayhiraajiun
M Marine creature JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 2,259 Reaction score 2,971 Nov 8, 2021 #4 Mitaa yangu kqbxaa...hakika ilikuwa ni huzuni na majonzi makubwaa..nliumia zaid wale madogo waliokiwa wanajiandaa kwenda chuo leo...
Mitaa yangu kqbxaa...hakika ilikuwa ni huzuni na majonzi makubwaa..nliumia zaid wale madogo waliokiwa wanajiandaa kwenda chuo leo...