Elections 2010 Mwanza: Watu watawanywa kwa mabomu wakimsubiri Dr. Slaa

yaani watu wamekusanyika toka asubuhi?duuh na hawa hawajafuatwa na malori kama chana fulani hivi..hahaaaaa presha inapanda presha inashuk..wapi Makamba.Vipi unamleta mgombea wako kwenye mdahalo au?
Kwa masharti yafuatayo:
Mtuletee majina ya watu watakao kuwepo siku ya mdahalo na maswali watakayo uliza usije leta watu wenye njaa kutoka sehemu kama Kariakoo....
Huduma ya kwanza iwepo.
Hakuna kuzungumzia ufisadi
na iwekuzungumzia ilani za chama
.... Mkiyatekeleza hayo JK atakuja kwenye mdahalo...
 
huo uwanja wa magomeni ndo uko pande gani za mwanza?
 
Ni yule aliyetaka kumnyima mgombea ubunge wa chadema haki yake ya kuchaguliwa kwa kisingizio cha pingamizi la kilaza masha.

Ni mwana CCM damu. kwa hali hii kwa nini asishiriki mbinu chafu ya kuiba kura ama kumpa ushindi masha

Huyu atakuwa ni mwingine yule anaitwa Wilson Kabwe. Kama kawaida wanaweza wakawa wamemchakachua ili wapate mtu wa kumtumia vizuri hawa chechem wana mbinu nyingi mno.
 
Kila dalili za kuhairisha uchaguzi zinaonekana dhahiri.
Kuna watu watalazimisha kufanya makosa ya kizembe ili kugharimu taifa kusababisha siku za kumchagua slaa kusogezwa mbele.

Hazina inakaushwa kwa upumbavu wa waroho wa madaraka, wanajua wanashindwa na hawana source za kurejesha hizo fedha na zile walizokopa kwa wahindi.

Safari hii wananchi wameamka. na wanampigia chapuo Slaa.
 
Nimepokea habari kuwa polisi wamesambaratisha mkutano wa Dr Slaa ambao ulikuwa ufanyike uwanja wa furahisha Mwanza na imewalazimu wahamie uwanja mwingine.
Watu wa Mwanza tupeni habari basi
 
Huwezi kuzia mvua , kama inanyesha inanyesha tu. Silaa ni kama mvua, anawika na atawika na kusinda tu....
 
jamani wewe nimakamba sasa unajibu hayo!?? hahahahha:mmph:
 
Nguvu ya umma haiwezi kushindwa na mafisadi. Dr. Slaa endelea kuchapa kazi sisi tupo nyuma yako.

NI LINI DR. ATAFIKA MONDULI ILI AVUNJE NGOME KUU YA KIFISADI?
 

Kwa nyomi ya Chadema magomeni hautoshi furahisha ndiyo ilikuwa mahali pake. Wanaleta vurugu tu hawa jamaa. Lakini yana mwisho. Mwanza (home town) walikuwa wamejiandaa kweli kwa ujio wa rais wetu mtarajiwa. Nilikuwa naongea na jamaa yangu kule akasema moto umewaka mwaka huu CCM hawawezi kuuzima tena
 

Utashangaa hao wa kwenye mahubiri nao wooote wanaenda kumsikiliza Slaa
 
Unajua wakati wakitangaza bunge moja kwa moja walidhani uwazi utawasaidia kurudi tena madarakani, kwangu mi naona wapinzani walitumia fursa vizuri kwa kujinadi kwa kuonyesha umahiri kwenye luninga, watanzania ni watazamaji na sio wasomaji, wangeendelea na taratibu za kuandika magazetini tu pengine wangefanikiwa.

Kwa upande mwingine naweza kusema matokeo ya hari hiii ni kutokana na kukua kwa technolojia ya habari nchini.
 
SISIEMU inahangaika bure, hawajui kwa kufanya hivyo ndivyo wanaongeza umaarufu wa CHADEMA. Hata kama wakiwapeleka Chadema mwaloni still mkutano utafanyika na watu watahudhuria kwa wingi bila kutegemea usafiri wa malori kama CCM. Watanzania this time wamesema HAWADANGANYIKI. Watatumia magarasha yote na bado wananchi wataifuata Chadema.
 
Huyu atakuwa ni mwingine yule anaitwa Wilson Kabwe. Kama kawaida wanaweza wakawa wamemchakachua ili wapate mtu wa kumtumia vizuri hawa chechem wana mbinu nyingi mno.

Nakushukuru mkuu, kwa hiyo walimhamisha Kabwe au bado yupo kama mkurugenzi (msimamizi wa uchaguzi). Kama yupo kuna haja ya Chadema kumkataa maana hatatutendea haki
 
Jaman kwa taarif zisizo rasmi nimeambiwa mkutano wa Dr Slaa Mwanza Umevamiwa na polisi eneo la furahisha pale... Watu wa Mwanza naomba mtupe news na updates juu ya hili... nini hasa kimejili pale....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…