Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
Kwa masharti yafuatayo:yaani watu wamekusanyika toka asubuhi?duuh na hawa hawajafuatwa na malori kama chana fulani hivi..hahaaaaa presha inapanda presha inashuk..wapi Makamba.Vipi unamleta mgombea wako kwenye mdahalo au?
Mtuletee majina ya watu watakao kuwepo siku ya mdahalo na maswali watakayo uliza usije leta watu wenye njaa kutoka sehemu kama Kariakoo....
Huduma ya kwanza iwepo.
Hakuna kuzungumzia ufisadi
na iwekuzungumzia ilani za chama
.... Mkiyatekeleza hayo JK atakuja kwenye mdahalo...
