Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Hilton alipoletewa ramani kwa ajili ya ujenzi wa hotel yake ya kwanza alihakikisha kila nafasi iliokuwa imeachwa wazi anaitengenezea kitu cha kumuingizia mapato.
Kama vile lobby iliokuwa imewekwa aliieguza kuwa bar room na sehemu ya kuuzia sigara na vitu vingine vya kufanana ili tu hata wafanyakazi wa kawaida wa mji wanaweza kuja kujivunjari wakitoka kazini.
Hata chumba kilichokuwa kimewekwa kwa ajili yake anapokuwepo maeneo hayo kwa ajili ya usimamizi alikigeuza tena kuwa chumba cha wageni huku akiamua kulala kwenye chumba kilichowekwa kama ofisi yake. (Yaani kilibaki kama ofisi na sehemu ya kulala)
Hii ilipelekea hilton kupata mapato sana na hata baadae kutengeneza empire ya hilton hotels.