Mwanzilishi wa jina "Mkuu" kwenye majukwaa Mungu anakuona.

Mwanzilishi wa jina "Mkuu" kwenye majukwaa Mungu anakuona.

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
Kwakweli nachukia hii tabia ya Kaka zetu Jf kumuita mwanamke "Mkuu" kwenye haya majukwaa, tutafutien jina lingine jamani, kama tuko jeshini.

Wengine mtu mpaka anakutongoza pm anaweka swaga za mkuu hii ni hatari kabisa. Mmekosa kabisa jina la kutupatia zaidi ya kutupa hili jina?? itaneni wenyewe kwa wenyewe kwakweli.
 
I love you too Tajiri, ww niite vyovyote tu, maana humu kwenyewe majina fake Halafu nikupangie jina zuri la kuniita, mkuu iko Poa kwa jinsia zote lbd tu pm ukija na mitongozo basi badili jina au sio!
Usijal my love kapeace
 
Back
Top Bottom