Jehujehu
JF-Expert Member
- May 4, 2018
- 224
- 212
ila kama neno mkuu likimaanisha heshima ya great thinker basi halitachagua umri hata hao madogo kama watajitahidi kuwa na viwango vya great thinkers watapewa cheo hicho.
mf. wilaya fulani fulani sasa hivi watoto wadogo wanadondoshewa saluti na baba zao!
mf. wilaya fulani fulani sasa hivi watoto wadogo wanadondoshewa saluti na baba zao!