Mwanzilishi wa jina "Mkuu" kwenye majukwaa Mungu anakuona.

Mwanzilishi wa jina "Mkuu" kwenye majukwaa Mungu anakuona.

Watu wanacheza mziki wa disco adi nyumbani daaah. Jmn hebu tutumie istilahi kulingana na context. Utamkosa ndege hvi hvi shauri yko hahaaaaa
 
Natumain hamjambo. Nawaza hivi jina hili tunaloitana mkuu kweli tunalitendea haki isije tukaitana wakuu wakati wengne hata ndevu hawajaota wanaitwa wakuu.
Jina la mkuu linaheshima kubwa.

Ombi kila mtu aseme umri wake.
Ili tuepuke kuwapa heshima watoto wa juzi juzi tu hata ubwabwa wa shingo haujawatoka et wakuu.
 
Wengine wanakuwa wanatukana ...wanamaanisha ....ndu..so be careful sio kila anaekuita mkuu anamaanisha
 
Siku moja nimekutana na mtu tuliezoeana kuitana MKUU hahaha hadi niliona aibu.
 
Back
Top Bottom