Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu wakina joanah,evenly salt,richaabra n.k et mnachukia?
Ujumbe umewafikia walengwa mkuu.
Da!! Kumbe? Basi tuhamasishe tu mkuu wangu.Hii mada ilishaletwa MKUU.
Ha ha ha! Kwanza heshima yakoo mzee baba mwenzangu. Hii mada kama jini tukemee isife ifufuke moja kwa mojaHii mada kama jini kisirani ikifa inafufuka
Wengine wanakuwa wanatukana ...wanamaanisha ....ndu..so be careful sio kila anaekuita mkuu anamaanishaNatumain hamjambo. Nawaza hivi jina hili tunaloitana mkuu kweli tunalitendea haki isije tukaitana wakuu wakati wengne hata ndevu hawajaota wanaitwa wakuu.
Jina la mkuu linaheshima kubwa.
Ombi kila mtu aseme umri wake.
Ili tuepuke kuwapa heshima watoto wa juzi juzi tu hata ubwabwa wa shingo haujawatoka et wakuu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Ha ha ha! Kwanza heshima yakoo mzee baba mwenzangu. Hii mada kama jini tukemee isife ifufuke moja kwa moja
[emoji15] [emoji38] mkunduyanguWengine wanakuwa wanatukana ...wanamaanisha ....ndu..so be careful sio kila anaekuita mkuu anamaanisha
Ha ha ha! Ikawaje?Siku moja nimekutana na mtu tuliezoeana kuitana MKUU hahaha hadi niliona aibu.
Ha ha ha! Ikawaje hapo?Siku moja nimekutana na mtu tuliezoeana kuitana MKUU hahaha hadi niliona aibu.
Mashana jr jina kubwa sana hili hapa jf.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ha ha ha haaaMkuu ni mmoja tu.. JIWE
Ni mama mtu mzima kama 40+ halafu mimi ndio kwanza nabaleheHa ha ha! Ikawaje hapo?