Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana nakupenda wewe ni mwanaume kuwa makini nao hao ukijichanganya shauriloAya because i am hamna kilichoharibika.
Sio kweli ,, I used to be more charming to suit everywhere ,,but hiii haimanishi napenda mitala ... I told you you are my life ,,sasa mbona ,,Unanisema namna hii katika hadhira ????Vladimir anapenda ndoa za mitaala sijui kama ntamuweza mweee!!
Some people hurts by action and some by words.Kabisa mi sioni ubaya yan lbd ambao ni wapenzi serious kama smart na mahondaw hao sawa
Weeee mbiti wewe mwanamke mbaya ujue...badala ya kumpa moyo wewe unazidi kubomka ???
Kweli mashoha wanabomoa nyumba zawatu hasa wakikuta mwanamke wako jumlisha toa.
Aaaahhh Ushaweka sumu alafu unaniachiaje sasa !!.......ahahahahhaa mie niishakushindwaaaaaaa!nakuachia
Aaaahhh Ushaweka sumu alafu unaniachiaje sasa !!.......
Sio vzuri bana.....
Hata Mimi wewe hata kwadawa hunifai hata kiduchuuuuuuuuuuuuuu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]mimi wewe hata kwa dawa hunifai sikufai
Kumuovertake jose siyo issue kabisa mkuu!Niwahi seat tu
Mkuu pendekeza wewe unataka tukuite nani hasa kwenye mtongozo, maana hapa najipanga kuja pm!Kwakweli nachukia hii tabia ya Kaka zetu Jf kumuita mwanamke "Mkuu" kwenye haya majukwaa, tutafutien jina lingine jamani, kama tuko jeshini.
Wengine mtu mpaka anakutongoza pm anaweka swaga za mkuu hii ni hatari kabisa. Mmekosa kabisa jina la kutupatia zaidi ya kutupa hili jina?? itaneni wenyewe kwa wenyewe kwakweli.
Tupe jina mbadala kwani sioni jinsi nyingine. Tutabaki kuita Kaka, mjomba, bwaasheeSijawahi ita mtu yeyote hilo jina tangu niijue jf
Kwakweli nachukia hii tabia ya Kaka zetu Jf kumuita mwanamke "Mkuu" kwenye haya majukwaa, tutafutien jina lingine jamani, kama tuko jeshini.
Wengine mtu mpaka anakutongoza pm anaweka swaga za mkuu hii ni hatari kabisa. Mmekosa kabisa jina la kutupatia zaidi ya kutupa hili jina?? itaneni wenyewe kwa wenyewe kwakweli.
Kutesa kwa zamu mkuuKumuovertake jose siyo issue kabisa mkuu!
Kama wewe hapo naweza kukuita "babu"Tupe jina mbadala kwani sioni jinsi nyingine. Tutabaki kuita Kaka, mjomba, bwaashee