Mwanzilishi wa jina "Mkuu" kwenye majukwaa Mungu anakuona.

Mwanzilishi wa jina "Mkuu" kwenye majukwaa Mungu anakuona.

Vladimir anapenda ndoa za mitaala sijui kama ntamuweza mweee!!
Sio kweli ,, I used to be more charming to suit everywhere ,,but hiii haimanishi napenda mitala ... I told you you are my life ,,sasa mbona ,,Unanisema namna hii katika hadhira ????
 
Sasa mkuu humu unaweza ukaita mtu mama kumbe ni mwanaume, "mkuu" ndio suluhisho!
 
Kwakweli nachukia hii tabia ya Kaka zetu Jf kumuita mwanamke "Mkuu" kwenye haya majukwaa, tutafutien jina lingine jamani, kama tuko jeshini.

Wengine mtu mpaka anakutongoza pm anaweka swaga za mkuu hii ni hatari kabisa. Mmekosa kabisa jina la kutupatia zaidi ya kutupa hili jina?? itaneni wenyewe kwa wenyewe kwakweli.
Mkuu pendekeza wewe unataka tukuite nani hasa kwenye mtongozo, maana hapa najipanga kuja pm!
 
Sijawahi ita mtu yeyote hilo jina tangu niijue jf
Tupe jina mbadala kwani sioni jinsi nyingine. Tutabaki kuita Kaka, mjomba, bwaashee

Back
Top Bottom