TANZIA Mwanzilishi wa Radio ya kwanza binafsi nchini, Padre Francois Gautier afariki dunia

TANZIA Mwanzilishi wa Radio ya kwanza binafsi nchini, Padre Francois Gautier afariki dunia

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414
Mwanzilishi wa Radio ya kwanza binafsi nchini Tanzania (Radio Tumaini), Padre Francois Gautier amefariki dunia.

Aliwahi kuwa paroko wa parokia ya Manzese.

Will miss you father R.I.P

FB_IMG_1621379629998.jpg
 
Kuna siku alikuwa anasema pasaka ni sikukuu ya wasela kufurahia kuzaliwa kwa msela mwenzao, msela aliyezaliwa katika zizi la ng'ombe
 
Radio tumaini

Radio tuwashiwashi

Radio tufigo

Radio tumoyo
 
Back
Top Bottom