Mwanzo mgumu lakini mvumilivu hula mbivu

Duuh umeingia mitini?......anyway it was a good inspiration

Hapana mkuu, ckuingia mitini, nimekutupia picha hapo juu, km unaweza ufike pale visiga uone kinachofanyika, wakati huu mkuu co wa kutafuta cfa za kijinga, ni wakati wa kufanya kazi kupata faranga manake wanaotakiwa kuzitoa wanazikalia wenyewe
 
Gharama za mradi mzima ni milioni sita na laki tatu, wanatoa banda kamili kwa maana linakuwa na drip pipes, tanki la maji lita alfu moja, gharama hizo ni za ukubwa wa mita 30*8 kwa hesabu za futi moja kila mche ni miche 1200 ya nyanya
 
Hongera sana mkuu Mungu akupe nguvu uzidi kufanikiwa it's good to try
Naomba kuuliza hiyo green house ni toka Balton? Vp mbegu ni aina gani? Naona inazaa vizuri sana
Vp kuhusu soko la Pilipili?
 
Wanajamii, Ngoshas amekuwa mkweli wala hajadanganya kabisa kaandika wazi kuwa hizo picha ni mfano tu wa vitu vyenyewe, si picha halisi za shambani kwake. Picha hizo zimepigwa kwenye Banda la JKT nane nane Morogoro! Ndiyo green house yangu ya kwanza ya mboga mboga kuiona Tanzania ikiwa imepandwa nyanya aina ya ANNA F1.
 
Ngosha...you are officially my idol!
 
Gharama za mradi mzima ni milioni sita na laki tatu, wanatoa banda kamili kwa maana linakuwa na drip pipes, tanki la maji lita alfu moja, gharama hizo ni za ukubwa wa mita 30*8 kwa hesabu za futi moja kila mche ni miche 1200 ya nyanya
Red na blue zimenikanganya mkuu.. funguka kidogo...
 
Hongera sana mkuu Mungu akupe nguvu uzidi kufanikiwa it's good to try
Naomba kuuliza hiyo green house ni toka Balton? Vp mbegu ni aina gani? Naona inazaa vizuri sana
Vp kuhusu soko la Pilipili?

Asante mkuu, nop, ni ya Arusha, infact Arusha ni ofisi, makao makuu EA ni Nairobi, ofisi ni ya Israel. Anna F one ni mbegu nzuri, inazaa sana ni hybrid ya Kenya. Pilipili naomba we mwenyewe uwe shaidi, kuanzia supu asubuhi hadi sinner usiku unaikuta mezani, supply ni ndogo ndo maana kifungu kidogo chauzwa bei kubwa. Nyingi haitoki maeneo ya karibu na dar, utaweza kuona jinsi unavyoweza kuuza km utaweza kulima karibu na dar kwamkuwamgharama za usafiri zitakuwa ndogo
 
Mkuu unaongere anna ipi?

Kama ni ile ANNA F1 basi hesabu zako ziko wrong sana.......

Nikweli pakti 1 inauzwa elfu sabini.
Lakini pakti 1 haiwezi panda heka 2.

Heka 1 ya ANNA inachukua miche elfu 9,000-12,000.Na kila pakti1 ina uwezo wa kutoa miche 1,000.

Kwahiyo ukipigia kwa miche 9,000 unapa pakti9x70,000xheka2=1,260,000 hizi ni gharama ya mbegu tuu tena sijaweza shipping charge ya mbegu from kenya seed suppliers!
 
this impresses me much...........big up mkuu ngoshas!
 
Last edited by a moderator:

owk CHAI CHUNGU
 
Last edited by a moderator:
Hongera mkuu. Nimehitaji kufanya kilimo cha namna hii maana kwa utafiti wangu mdogo nimeona kinadharia kuwa kila mmea wa nyanya unaweza kuzaa hadi kilo 25. vipi ni sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…