Mwanzo mgumu

Mwanzo mgumu

Ibrahimeliza

Member
Joined
Nov 25, 2020
Posts
37
Reaction score
26
Mwanzo ukianza au siku ya kwanza kufanya inauma sanaaa ila siku ya pili utafanya tena pamoja na maumivu ya awali na utagundua siku ya pili maumivu sio kama ya awali, kisha maumivu yatapungua na yatapotea kabisa halaf utaanza kusikia rahaa, mara utakuwa mzoefu na maisha yataenda.

Kila kitu katika maisha kipo hivyo mwanzo unakuwa mgumu.
 
Hata bikira inapovunjwa siku ya kwanza,inakuwa na maumivu kadiri siku zinavyosonga mbele raha inaongezeka na mwanamke uchanua miguu yote pwaaaah,mazoea uleta tabia...
 
Back
Top Bottom