Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
Mwanzo mpaka Ufunuo ni sisi
Kama ambavyo nimekuwa nikisema kwamba maandiko matakatifu hususani biblia haizungumzii habari kutoka nje yetu.
Tunaambiwa kwamba imeandikwa kwa codes au mafumbo, lakini hatujawahi kuambiwa hayo mafumbo Ni yapi.
Sasa hili Ni SoMo ambalo litakuwa hewani kuanzia kesho, ili tupate kufumbuliwa macho na kuyaelewa hayo mafumbo.
Biblia siyo tu kitabu Cha dini Kama ambavyo tunakichukulia, Ila Ni ukuaji au mabadiriko ya ukuaji wa ufahamu wetu katika Hali hii ya udhihirisho wa kibinadamu.
Katika mwanzo pale tunaanzia kwenye bustani ya Eden, Lakini je Ni kipi ambacho wanajaribu kutuambia kupitia Mambo ya pale bustani ya Eden.
Kadri tukavyokuwa tunaendelea na SoMo hili tutaelewa kwamba inajatibu kuzungumzia au kuelezea mabadiriko ya ukuaji ambao uko ndani yetu na Wala siyo uumbaji wa kifizikia kutoka nje yetu.
Adam yeye alikuwa mtu wa kwanza aliyetokana na mbegu ya Mungu, Hivyo Basi Adam Ni mbegu ambayo katika Uumbaji au ujenzi Adam Ni mfano wa Atom.
Hivyo Basi Adam au Atom ndiyo chanzo Cha maisha yote.
Inazidi kutuambia kwamba bwana Mungu akapanda bustani upande wa mashariki mwa Eden, na akamuweka ndani yake huyo mtu aliyemfanya.
Hivyo Basi watu wanaenda kuishi kwenye bustani, ambayo imepewa jina la Eden, Eden Ina maana ya mwanga, upendo na amani.
Lakini tunaambiwa kwamba hii bustani yenyewe ilipandwa mashariki, hivyo tukijaribu kuangalia kaskazini mashariki ndiko kuliko upande wa kulia, upande wa haki, nako ndiyo kujilikanako Kama mkono wa kuume wa Mungu baba mwenyezi.
Hii sehemu pia inapatikana ndani yetu, ambayo iko pia upande huu wa kulia ambayo Ina amani, haki, upendo , mwanga, na kila kitu hapo Ni kipya, Huwa tunaipata sehemu baaya ya kuwa kwenye utulivu wa Hali ya juu (meditation) baada ya jicho letu la tatu kufunguka au kuwa active, jicho Ni taa ya mwili. Hii Ni sehemu ya kulia ya ubongo wetu.
Ukisoma Ezekiel 43 ule mstari wa pili na wa nne nao unasema " :2 Na tazama huo utukufu wa Israel ulitokea kwa Njia ya mashariki, Na sauti yake ilikuwa Kama mshindo wa maji mengi, nayo nchi iling'aa kwa utukufu wake.
Ukija Ile mstari wa nne nao unasema " Na ule utukufu wa bwana uliingia ndani ya nyumba kwa Njia ya lango lile lielekealo upande wa mashariki".
Hivyo Basi tuko kwenye kuitafuta Njia ya kuturudisha kwenye ileee bustani ya Eden ambayo iko mashariki.
Zile siku Saba za uumbaji zinapatikana pia ndani yetu kupitia zile chakra Saba au vile vituo Saba muhimu vya nishati, Ambazo hizi siku Saba za uumbaji na vile vitasa Saba bya kwenye ufunuo havina tofauti.
Dunia huu Ni ufahamu wa chini kabisa ambao katika vile vituo Saba tunaipata katika kituo au chakra ya kwanza ambayo Ni root chakra.
Maji yenyewe Ni ufahamu wa juu, Hewa yenyewe Ni patakatifu pa patakatifu ambako Roho ya Mungu huelea, Nao ndiyo Moto wa kiroho.
Siku ya Saba Mungu alimaliza kazi zake alizokuwa amezifanya, Na akapumzika siku hii ya Saba.
Hii Ni siku ambayo Mungu alimaliza kazi zake, siku ya Saba, chakra ya Saba ambayo ndiyo crown chakra au chakra ya taji, rejea Ile nyimbo ambayo huwa Inasema nikimaliza kazi nitavalishwa taji.
Hii ndiyo sehemu yenye amani, isiyo na vifungo, hapa ya kale yote yanakuwa yamepita nawe unakuwa mpya.
Hata katika maisha yetu ya kawaida tu huwa tunafanya kazi na siku ya Saba huwa tunapumzika, ambayo Ni jumapili Sunday, ambapo jua au mwanga mtakatifu unamulikwa mashariki iliyoko ndani yako.
Jerusalem mpya iko ndani yetu, hivyo Basi hakuna mzigo wowote ambao unaweza kubebeshwa katika hii chakra ya Saba endapo ukiwa upo kwenye utulivu au meditation na Mungu wako.
Zile hatia zote, maumivu yote, uoga wote ambao unapatikana upande wa kushoto Sasa unakuwa hauna nafasi Tena.
COMING SOON