greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Maisha marefu ni unapozaliwa mwisho miaka 20.baada ya hapo huaamini jinsi miaka inavyokimbia,punde tu utaanza kuona mvi zinaanza kidevuni..uzee huo.Yani kuna hali yanifkirisha,au sijui ndiyo akili za weekend...!?
Mtu kukua kutoka umri wa miaka 10 hadi 20 ilichukua mda mrefu sana.
Ila
Kukua kutoka umri wa miaka 20 hadi 30 mbona imefanyika fasta sana.
Yaani,ukilala ukiamka unakuta unasherekea Siku ya kuzaliwaMaisha marefu ni unapozaliwa mwisho miaka 20.baada ya hapo huaamini jinsi miaka inavyokimbia,punde tu utaanza kuona mvi zinaanza kidevuni..uzee huo.
Bado hujasema πππYani kuna hali yanifkirisha,au sijui ndiyo akili za weekend...!?
Mtu kukua kutoka umri wa miaka 10 hadi 20 ilichukua mda mrefu sana.
Ila
Kukua kutoka umri wa miaka 20 hadi 30 mbona imefanyika fasta sana.
Hii kauli nimewahi kumsikia mzee mmoja hivi mstaafu anaisemaga. Anasema alivyofika miaka 40 alishangaa ghafla ana miaka 60. Anasema haelewi elewi kafikaje miaka 60.sasa kutoka 40-60 ni kama kulala saa nane mchana na kuamka saa 10 jioni
Tunapoteza sana mda kwa vitu ambavyo havina maana ndomaana tunaona mda unakibia na ujaufanyia kazi za maana, wiki nzima umeenda kumuona ndugu kweli kwanini mda usikimbieHii kauli nimewahi kumsikia mzee mmoja hivi mstaafu anaisemaga. Anasema alivyofika miaka 40 alishangaa ghafla ana miaka 60. Anasema haelewi elewi kafikaje miaka 60.
vipi kuhusu gear box yako nayo inaanza kupunguza gear au kushindwa gear inatembelea gear 1 mpaka 2Yani kuna hali yanifkirisha,au sijui ndiyo akili za weekend...!?
Mtu kukua kutoka umri wa miaka 10 hadi 20 ilichukua mda mrefu sana.
Ila
Kukua kutoka umri wa miaka 20 hadi 30 mbona imefanyika fasta sana.
Yan,mimi ni wa kupokea shikamoo kama mvuaBado hujasema πππ
Na inakimbia km huna pesa.!!
Nicheki majukum yananiandama....umri nao unazidi kwenda....Majukumu π€π
Nicheki majukum yananiandama....umri nao unazidi kwenda....Majukumu π€π
Kwahiyo hakuna kutembeleanaTunapoteza sana mda kwa vitu ambavyo havina maana ndomaana tunaona mda unakibia na ujaufanyia kazi za maana, wiki nzima umeenda kumuona ndugu kweli kwanini mda usikimbie
Mimi sina hofu ya kifoMuda unakimbia sana hofu ya kifo inazidi kuongezeka
Ukiona hivyo lishakukuta jambo...Siti ya mbele kabisa
Inabidi upambane sanasoon navaa iko kiatu cha 30,,, uuuuuuuiiiiiiiiiiii